Saturday, March 7, 2009

Mvuta bangi anajaribu kuufungua mlango wa nyumba yake lakini anashindwa kuona tundu ya kufuli nyakati za usiku.Anaporejea nyumbani , ikabidi aende mbele kidogo penye mwangaza ili autazame kama kweli ndio ufunguo wenyewe au laa,mkewe kamuona na kumuuliza, nikurushie ufunguo? mumewe kamjibu; laa, nirushie tundu ya kufuliii !!! he he he he.