Sunday, March 29, 2009

Babu mmoja alipelekwa london na mjukuu wake kwa matibabu.Siku moja akatoka nje ya hospitali kupunga upepo.Alipofika barabarani aliona harusi inapita basi akauliza jamaa mmoja , nani anaoa? jamaa kamjibu, I dont know.keshoye akatoka tena kupunga upepo na pale barabarani kaona jeneza linapitishwa ikabidi aulize jamaa, nani kafariki? jamaa kamjibu, I dont know.Babu akaenda kwa mjukuu wake akisikitika na kumuambia Adonoo jana tayari alifunga harusi leo kafariki !!!