Sunday, March 29, 2009

Mvuta bangi kaulizwa kipi bora kati ya jua na mwezi? Akajibu mimi naona heri mwezi kwa sababu jua hutoka wakati kuna mwangaza na mwezi huangaza wakati wa giza.!! ha ha ha ha !!!!
Babu mmoja alipelekwa london na mjukuu wake kwa matibabu.Siku moja akatoka nje ya hospitali kupunga upepo.Alipofika barabarani aliona harusi inapita basi akauliza jamaa mmoja , nani anaoa? jamaa kamjibu, I dont know.keshoye akatoka tena kupunga upepo na pale barabarani kaona jeneza linapitishwa ikabidi aulize jamaa, nani kafariki? jamaa kamjibu, I dont know.Babu akaenda kwa mjukuu wake akisikitika na kumuambia Adonoo jana tayari alifunga harusi leo kafariki !!!

Wednesday, March 11, 2009

Kuna bakhili mmoja kaowa, kaamua kwenda honeymoon pekee, kwanini? kahofia hela zake zisimalizwe !! ha ha ha haaaaa!!
Babu kalala kuchelewa ndoto ikampita, hakuiwahi. he he he!!!

Monday, March 9, 2009

customer: I placed an advertisement for lost dog in the paper here.Has anything been heard of it? I offered a reward of 10,000 dollars. Office boy:Sorry all the editors and reporters are out looking for the dog. ha ha ha ha!!

Saturday, March 7, 2009

kuna mlevi alipoona ramadhani taabu kufanya starehe zake aliingia msikitini na kuomba dua -Ee Mola tujaalie ramadhani iwe kama world cup kila baada ya miaka minne na nchi ziwe zina qualify.hahahahahahaaa!! alikuwa na kiu.
Mjinga mmoja kaja mjini na siku hiyo kaona kumeandikwa "kuingia sio chini ya 18" kenda mbio na kuleta rafiki zake 17 ili waingie wote.!!! hahahahaha!!